Wednesday, 14 June 2017

WAZUNGU WA MADINI WAJISALIMISHA KWA MAGUFULI...

Baada ya Report ya pili kuhusu mchanga wa madini, wazungu wenye asilimia kubwa ya share  katika madini hayo wajisalimisha kwa Rais MZALENDO MAGUFULI kufanya negotiation na kuyamaliza mambo.....Tazama video kujua jinsi mambo yalivyoenda..Post a Comment