Wednesday, 14 June 2017

UTATAMBUAJE KAMA UNA JINI MAHABA?? VITU ANAVYOVUTIWA NAVYO KWA MWANADAMU...

Somo juu ya jini mahaba na majini wengine, jinsi wanavyo waingia watu,
Vitu vinavyowavutia na athari zake.... Usisaha Ku SUBSCRIBE kwa habari
zaidi......~~~~!!!!!

 [​IMG]
Namna Majini wanavyowaingia Binadamu iko

katika njia tatu:-1. Njia ya kwanza (1): ni kama

Remote Control; Hii inamfanya

yule aliyedhibitiwa kuweza

kuelewa au kuwa na fahamu

zake lakini anakuwa hawezi

yeye mwenyewe kuudhibiti

mwili wake na anasema yale

anayotaka yule Jini.

2. Njia ya Pili (2); Jini

humwingia Binadamu ndani ya

utosi na kuingia katika Mfumo

wa Damu. Hii inamfanya yule

Binadamu kupoteza fahamu na

anakuwa haelewi kabisa

kinachoendlea na anafanya

yote anayotaka yule Jini.

Image result for jini mahaba

3. Njia ya Tatu (3) ni ile ya

Jini kukaa nyuma ya

Binadamu. Njia hii humfanya

yule Binadamu anakuwa

hapotezi fahamu ila anakuwa

hawezi kufanya lolote na mwili

wake.

Post a Comment