Friday, 9 June 2017

CHEKI POLISI WAKIGEWA SOMO HEAVY.....!!! (RUSHWA)

Hili lilikua somo kwa askari wala RUSHWA.....

ONYO KALI kwa askari wanao shiriki au kuchukua Rushwa kwa wananchi, wengine hutumia hata nguvu kutimiza hazma yao SASA DAWA IKO JIKONI....

UKIKUTWA AU KURIPOTIWA HII ITAKUHUSU..

Msikilize huyu mama kwa uweledi kupata habari zaidi..

Post a Comment