Tuesday, 16 February 2016

VideoMPYA: Mirror na Baraka Da Prince wametuletea leo video yao mpya “Naogopa”

Mtu wangu wa nguvu list ya video kali kwa mwaka 2016 inazidi kuongeze kila kukicha kwa wasanii kutoka katika kiwanda cha Bongo Fleva kuamua kutengeneza video kali za hit single zao ambazo zimekuwa zikifanya vizuri katika radio station, time hii ni wakati wa kuenjoy dakika tatu na sekunde 25 za video ya msanii kutoka kampuni ya Endless FameMirror Ft Baraka Da Prince inaitwa  “Naogopa”.



Post a Comment