Friday, 26 February 2016

Video ya magoli yote ya Yanga vs Simba 2-0 Feb 20 2016


February 20 2016 ilichezwa hii mechi ya Yanga vs Simba uwanja wa taifa Dar es salaam ikiwa ni mechi ya ligi kuu ambapo Yanga walichukua ushindi wa 2-0, ikiwa ni mara ya 31 Yanga kuishinda Simba ikiwa hii ni mechi yao ya 81 toka waanze kukutana uwanjani.

SOURCE!!MILLARDAYO
Post a Comment