Friday, 19 February 2016

U Heard ya leo imemgusa Shilole, ukweli kuhusu mahusiano yake mapya baada ya kuachana na Nuh Mziwanda? …(+AUDIO)


Kwenye U Heard ya Clouds fm leo ni kuhusu mrembo Shilole ambaye tangu kuachana na mpenzi wake wa zamani Nuh Mziwanda haijafahamika wazi ni nani mwingine amechukua nafasi, Sasa leo Soudy Broun kamvutia waya na kuhoji kuhusu ukaribu wake na Nedy Music.
Full stori ipo kwenye hii sauti hapa chini….

Habari Kamili Hapa!! MILLARDAYO
Post a Comment