Friday, 19 February 2016

Soudy Brown kampata Ray ‘Vicent Kigosi’ baada ya kuusikia wimbo wa Nay wa Mitego


Soudy Brown kaamua kuingizia utani kupitia moja ya mstari kwenye mdundo wa  Nay wa Mitego ‘Shika adabu yako , eti Msanii Ray Kigosi katumia mkorogo wa mama yake alafu mama kaenda kusemelea kwa mshua kuhusu tabia ya mtoto wake.
Post a Comment