Tuesday, 16 February 2016

Exclusive: Diamond Platnumz amewaonya wanaosema Tiffah sio mtoto wake, anasema nao hapa

Mwimbaji staa wa Tanzania Diamond Platnumz alikutana na mtangazaji waAMPLIFAYA & Top 20 za CloudsFM Millard Ayo na kuzungumzia post na comments ambazo amekua akiziona zikisema mtoto sio wake na kwamba akapime DNA, majibu yake yote aliyoyatoa yapo kwenye hii video hapa chini..


Source: MILLARDAYO
Post a Comment