Monday, 29 February 2016

Exclusive: Diamond anawafata Alicia Keys, Swizz Beatz na Neyo Marekani… Rich Mavoko je?


Diamond Platnumz alikaa kwenye Exclusive na OnAIRwithMillardAyo na kuweka wazi kwamba atasafiri hivi karibuni kuelekea Marekani kukamilisha video ya wimbo wake na Neyo, pia kukutana na producer maarufu Swizz Beatz na mkewe ambaye ni mwimbaji Alicia Keysyote pia kuhusu Rick Mavoko ameyasema hapa kwenye hii video.
Post a Comment