Friday, 23 June 2017

NEW SONG---Diamond Platnumz - I miss you (Official Video)

WHEN IT COMES TO GOOOOOOD MUSIC ndio pale inapokubidi kuchungulia anayoyafanya SIMBA.. MKALI WA WAKALI..

Tazama video yake mpya ya I MISS YOU na dondosha maoni yako kuhusu ngoma hii..

Tuesday, 20 June 2017

EBITOKE - UTAMU WANGU NAMTUNZIA BEN POL na AKINIKATAA NAJIUA

Jionee MAHABA NIUE YA EBITOKE kwa BEN POL anadai bora kupoteza maisha kuliko kukosa nafasi ya kuwa na BEN POL na anautunza UTAMU wake kwa ajili ya BEN..!!!EBITOKEEEEE SIO MTU WA MCHEZO MCHEZO... HAPENDAGI UJINGA NA MAPENZIII

Gigy Money AFUNGUKA adai Diamond akitaka UTAMU wake mda wowote anampa...

GIGI MAPESAAAAAAA.....
ADAI YUPO TAYARI KULIWA URODA NA DIAMOND MUDA WOWOTE ATAKAO HITAJI.... AKILI KUMZIMIKIA KINOUMA, aongelea pia kuhusu UZURI wa WEMA SEPENGA... GIGI anadai WEMA sio mkali wala nini JINA TU KUBWA.. Aongelea Team Wema MAVOKO Jinsi anavyoomba kumpa UTAMU kwa nguvu zoteNamengine KIBAOOOOO...
JIONEE CHINI BILA KUSAHAHU KU SUBSCRIBE....

Saturday, 17 June 2017

BWAKILA na UNCLE STAN KATIKA UBORA WAO...!!!

CHEKA UPASUKEEEEE...

Sikiliza Bwakila na Uncle Stan wakiwa katika ubora wao... Hawa jamaa ni zaidi ya vituko unaweza CHEKA mpaka ukalia..

Thursday, 15 June 2017

Live Performance Ya Jason Derulo X Ray Vanny - Nairobi

 Image result for RAYVANNY AND JASON DERULO
Kama hukupata nafasi yakuangalia live performance ya Ray Vany na Jason Derulo huu ndio wakati wako, cheki jinsi wakali hawa walivyokinukisha kwenye COKE STUDIO AFRICA...

Na kwa wale wapenz wa mziki mtaaaaaaamu kabisa kaeni tayari kwa Ngoma itakayodondoka hivi punde  bayana ya wasanii hao wawili inayoenda kwa jina la ''I Pick Rayvann''

Wednesday, 14 June 2017

WAZUNGU WA MADINI WAJISALIMISHA KWA MAGUFULI...

Baada ya Report ya pili kuhusu mchanga wa madini, wazungu wenye asilimia kubwa ya share  katika madini hayo wajisalimisha kwa Rais MZALENDO MAGUFULI kufanya negotiation na kuyamaliza mambo.....Tazama video kujua jinsi mambo yalivyoenda..UTATAMBUAJE KAMA UNA JINI MAHABA?? VITU ANAVYOVUTIWA NAVYO KWA MWANADAMU...

Somo juu ya jini mahaba na majini wengine, jinsi wanavyo waingia watu,
Vitu vinavyowavutia na athari zake.... Usisaha Ku SUBSCRIBE kwa habari
zaidi......~~~~!!!!!

 [​IMG]
Namna Majini wanavyowaingia Binadamu iko

katika njia tatu:-1. Njia ya kwanza (1): ni kama

Remote Control; Hii inamfanya

yule aliyedhibitiwa kuweza

kuelewa au kuwa na fahamu

zake lakini anakuwa hawezi

yeye mwenyewe kuudhibiti

mwili wake na anasema yale

anayotaka yule Jini.Tuesday, 13 June 2017

EBITOKE wa BEN POL abadili muonekano kuonesha uhalisia wake...

Baada ya msanii wa Comedy al maalufu kwa jina la EBITOKE  kuweka baya juu ya penzi lake kwa msanii mkubwa na maarufu wa RnB nchini BEN POL aja na mpya ya kubadilisha muonekano wake ili kuonyesha umma nkuwakata kilimilimi waliokua wakibeza muonekano wake wakisanii..... 

JIONEE CHINI --- SUBSCRIBE KUPATA YATAYOJIRI MAPEMA..

MAONI YA WABUNGE MBALIMBALI KUFUATIA REPORT YA 2 YA MCHANGA WA MADIDI..

 
Baada ya Reprt ya pili iliyokua ikisubiriwa kwa hamu nzito, wabunge na wanachi wametoa maoni mbalimbali kuhususiana na reporti hiyoo..

INASIKITISHA NA KUUMIZA SAAANA...!!!!

EBITOKE katika ACTION.!!!! Cheka upasukeee.....Mshuuudie dada mwenye vituko na vichekesho vya kupasua maini na kukata ulimi.....
EBITOKE aka DEM WA BEN POL... Akiwa katika ACTION!!